"Mimi kama mwanasiasa ukiona mtu ambaye ni adui yako umefanya jambo akakusifia ujue lipo tatizo, ila ukiona umefanya jambo adui yako akasema umekosea maana yake umepatia sana.
"Mimi naomba nimpongeze Rais Magufuli kwa kazi kubwa aliyofanya na niwaambie waheshimiwa wabunge, duniani kote 'Extractive Industries' inaenda kubadilika atakaye kuwa kwenye historia ya kubadilisha Extractive Industries ni Rais Magufuli.
"Leo duniani kote kila kwenye migodi mambo yatabadilika kwa sababu ya Magufuli amefungua milango, niwaambieni watanzania tusiogope kwenye hili lazima tuwe nyuma ya Rais tumuunge mkono aendelee na nina hakika wawekezaji watakuja mezani."
Mheshimiwa Peter Serukamba
Mbunge wa Kigoma Vijijini (CCM)
DKT. BITEKO ATAKA MITAALA VYUONI IENDANE NA MABADILIKO YA TEKNOLOJIA
-
Azindua dira ya miaka 50 ya CBE (2025 - 2075)
📌 Asisitiza matumizi ya teknolojia za kisasa, zinazojibu changamoto za
jamii
📌 Taasisi za elimu ya juu za...
Saa 10 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni