Leo June 24, 2017 Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro alikuwa Mgeni rasmi katika sherehe ya kufunga mafunzo ya Maafisa wa Uhamiaji waliomaliza Kozi Namba Moja, sherehe zilizofanyika Chuo cha Polisi Moshi, CCP.
Hizi hapa picha 9 kutoka katika sherehe hizo ambapo Kozi hiyo ilihusisha
Warakibu Wasaidizi, Wakaguzi Wasaidizi, Sajini Meja, Sajenti na Koplo.
IGP Simon Sirro akikagua Gwaride la Maafisa wa Uhamiaji wakati wa sherehe za kumaliza kozi namba moja kwa Maafisa hao
IGP Simon Sirro (kulia) akibadilishana mazungumzo na Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dkt. Anna Makakala baada ya kukagua Gwaride wakati wa sherehe za kumaliza Kozi ya Kwanza ya Maafisa wa Uhamiaji, CCP Moshi
IGP Simon Sirro akiwahutubia Maafisa Uhamiaji baada ya kukagua Gwaride wakati wa sherehe za kumaliza kozi ya kwanza kwa Maafisa Uhamiaji
IGP Simon Sirro akimvisha Cheo Mkaguzi Msaidizi Hadija Masoud Ali wakati wa sherehe za kumaliza kozi ya kwanza ya Maafisa Uhamiaji katika Chuo cha Polisi Moshi, CCP.
KISARAWE KUKATA KEKI YA BIRTHDAY YA DKT. SAMIA SULUHU HASSAN
-
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Petro Magoti akizungumza kwenye mkutano na
Waandishi wa Habari hawapo pichani kulia kwake ni Hakimu Mkazi Mkuu
Mfawidhi wa Maha...
Saa 6 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni