AISHA SURURU FONDITION YATOA MSAADA WA MAGODORO KWA WANAFUNZI WA MASJIDI IDRISA KARIAKOOWanafunzi wa shule mbalimbali za Sekondari jijini Dar es salaam ambao wameweka kambi ya kujisomea katika Msikiti wa Idrisa Kariakoo Dar es salaam wakiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Aisha Sururu Fonditio Aisha Sululu kulia baada ya kuwakabizi magodoro na Mashika kwa ajili ya kulalia wawapo katika masomo yao ya ziadi picha na Blog ya SUPER D

Mkurugenzi Mtendaji wa Aisha Sururu Fondition, Aisha Sururu kulia akimkabizi mmoja wa vijana wanaojisomea katika kambi ya msikiti wa Idrisa, Muhsin Juma magodoro aliyotoa kwa ajili ya vijana hawo kulalia  Picha na Blog ya SUPER D

Mkurugenzi Mtendaji wa Aisha Sururu Fondition, Aisha Sururu kulia akimkabizi mmoja wa vijana wanaojisomea katika kambi ya msikiti wa Idrisa, Muhsin Juma mashuka pamoja na magodoro aliyotoa kwa ajili ya vijana hawo kulalia  Picha na Blog ya SUPER D
Share on Google Plus

About GLORIA MATOLA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Chapisha Maoni

Watch the Video Here

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

Google+ Followers

TANGAZO

My Blog List