| Meneja wa Kanda ya Afrika Mashariki wa kampuni ya Choloride Exide Bw,Gabriel Ondoyo kushoto na Mratibu wa Masoko wa Kampuni hiyo Bw, Robert Hiza wakishusha betri walizopereka mhuimbili |
| Meneja wa Kanda ya Afrika Mashariki wa kampuni ya Choloride Exide Bw,Gabriel Ondoyo kulia na Mratibu wa Masoko wa Kampuni hiyo Bw, Robert Hiza wakishusha betri walizopereka mhuimbili |
| Mkuu wa Madereva wa Kitengo cha Emer gency Medicini Bw. Kafuru Rashidi akikagua betri hizo baada ya kukabidhiwa |
| Baadhi ya Madereva wa kitengo hicho wakikagua |
| Baadhi ya waudumu wakiendelea na shughuli zao katika gari la wagojwa kushopto ni Nikijaeli Ngareni na Josephine Lazaro |
0 comments:
Chapisha Maoni