Baadhi ya wafanyabiashara vijana wa Kata ya Doma-Mvomero wakijadili
rasimu ya katiba mpya pamoja na wawezeshaji wa Kituo cha Sheria na Haki
za Binadamu (LHRC) hivi karibuni
Wanakijiji wa Kijiji cha Kambala Kata ya Hembeti wilayani Mvomero
wakijadili rasimu ya katiba mpya pamoja na wawezeshaji wa Kituo cha
Sheria na Haki za Binadamu (LHRC)
Mmoja wa wawezeshaji jamii wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu
(LHRC), Bw. Zakayo akihamasisha wananchi wa Kata ya Doma-wilayani
Mvomero kushiriki katika mchakato wa katiba mpya.
KURUI Vs KISARAWE WAKIPIGA MZENGA
-
*Mzenga,Kisarawe*
Timu za soka Kata ya Kisarawe na Kurui jana tarehe 17 Januari 2025
zimetoka sare ya goli moja moja ikiwa ni katika hatua ya kuwania ...
Saa 5 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni