| Mwenyekiti wa CHANETA mkoa wa Mbeya dadaMary akiongea na waandishi wa habari |
LIGI ya Mpira wa pete (CHANETA CUP) inayofanyika Kitaifa katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine Mkoani Mbeya imeanza kwa kasi baada ya timu nane kutoana jasho katika Mechi za ufunguzi.
-
13:36
0 comments:
Chapisha Maoni