MABONDIA WAZICHAPA KAVU KAVU KABLA YA MPAMBANO WAO




Rais wa TPBO LIMITED Yassini Abdallah 'Ostadhi' katikati akiwamulizia mabondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' kushoto na Simba Watunduru baada ya kusaini mkata wa kupambana August 30 katika ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es salaam Picha na BLOG YA SUPER D
Na Mwandishi Wetu 
 MABONDIA Ibrahimu Class 'King Class Mawe' na Simba Watunduru wamekiuka miko ya mchezo wa masumbwi baada ya kuchapana makonde kavu kavu mbele ya Rais wa TPBO Yassini Abdallah 'Ostadhi' wakati wa utiaji saini mkataba  wa makubaliano wa kupambana mchezo wa kirafiki August 30 katika ukumbi wa Diamondi Jubilee

Akizungumzia tukio hilo rais huyo alisema sijawai kuona vitu kama hivi vya ajabu mana vijana wamekamiana mpaka kufikia atua ya kuchapana kavu kavu mbele yangu ata hivyo mzozo uwo umekubaliana kumalizika siku ya mpambano wao  ambapo atajulikana nani mbabe zidi ya mwenzake

Nae bondia Ibrahimu Class aliyeanzisha mzozo uho ameaidi kumaliza mapema mpinzani wake ambapo anatarajia kumchakaza raundi za awali na bondia Simba ame aidi kumchapa class kwa K,O

wakati wowote ule unajua huyo ni kijana mdogo sana mmemuaisha kwangu sasa siku hiyo mimi nita mpiga K,O mbaya sana najua kuwa  kwa Tanzania hii mimi ndie naongoza kuwapiga wapinzani wangu kwa K,O pindi nikutanapo uringoni


Siku hiyo kutakuwa na uhuzwaji wa DVD mpya kwa ajili ya mafunzo ya mchezo wa masumbwi zitakazokuwa zikisabazwa na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D'


DVD hizo mpya ni kati ya  

mike tyson vs evander holyfield na felix trinidad vs roy jones jr

Felix 'Tito' Trinidad vs Pernell Whitaker


ambapo dvd hizo zilizo rekodiwa kwa ubora wa hali ya juu kwa ajili ya kutoa mafunzo ya mchezo wa masumbwi nchini na kuelekeza mbinu na sheria za mchezo huo kwa mashabiki,mabondia na wanaoitaji kuwa marefarii wa pembeni kujifunza vizuri



--

Rajabu Mhamila 'Super D'

Photojournalist at Majira, Business Times


           mhamila1@gmail.com




        Po.Box. 15493

Dar es Salaam Tanzania
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List