RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AKUTANA NA RAIS MSTAAFU WA MAREKANI BILL CLINTON


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na  Rais wa Mstaafu wa Marekani Bill Clinton, (katikati) aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na ujumbe wake, (kushoto) Chalsea Clinton,ni Mtoto wa Rais Mstaafu wa Marekani. 
 Mtoto wa  Rais Mstaafu wa Marekani Chalsea Clinton,akipiga mpira kama ishara ya kufungua mpambano wa Timu za wachezaji wa zamani katika sherehe za Ziara ya Rais wa Mstaafu wa Marekani Bill Clinton,kukagua miradi mbli mbali katika nchi za Afrika iliyo chini ya ufadhili wa Taasisi yake, (CLINTON FOUNDATION) katika uwanja wa Amaan leo.[
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mtoto wa Rais Mstaafu wa Marekani Chalsea Clinton,baada ya kufungua mpambano wa Mpira wa Miguu kwa timu za Wachezaji wa Zamani uliofanyika leo katika Uwanja wa Amaan.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi

Dk. Ali Mohamed Shein, na Rais wa Mstaafu wa Marekani Bill
Clinton, wakipata maelezo kutoka kwa  Bruno Mnnen,wakati walipotembelea katika banda la utoaji wa huduma ya uchunguzi wa Damu ya Maleria pamoja na Vyandarua,(Clinton Health Access Initiative-CHAI) katika ziara yake Clinton kuangalia miradi mbali mbali katika Nchi za Afrika,(wapili kushoto) Mtoto wa  Rais Mstaafu wa Marekani Chalsea Clinton.
Share on Google Plus

About GLORIA MATOLA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Chapisha Maoni

Watch the Video Here

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

Google+ Followers

TANGAZO

My Blog List