Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, (kulia) akipokea zawadi ya Kinyago cha Twiga kutoka kwa Msanii maarufu Mzee Otmar Francos Mpanda kutoka Mkoani Mtwara wilaya ya Masasi,pia akiwa Mzee wa CCM Wilaya hiyo,hafla hiyo ilifanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.
KURUI Vs KISARAWE WAKIPIGA MZENGA
-
*Mzenga,Kisarawe*
Timu za soka Kata ya Kisarawe na Kurui jana tarehe 17 Januari 2025
zimetoka sare ya goli moja moja ikiwa ni katika hatua ya kuwania ...
Siku 1 iliyopita
0 comments:
Chapisha Maoni