RAMADHANI SHAURI ALIVYO ONESHANA UBABE NA RICO MUELLER NCHINI GERMANYBondia Ramadhani Shauri kushoto akipambana na  Rico Mueller  wa Germany ambaye ni bondia namba moja katika nchi yake wakati wa mpambano wa kugombania ubingwa wa International Boxing Organization Inter-Continental welterweight title
Bondia Ramadhani Shauri kushoto akipambana na  Rico Mueller  wa Germany ambaye ni bondia namba moja katika nchi yake wakati wa mpambano wa kugombania ubingwa wa International Boxing Organization Inter-Continental welterweight title baada ya mpambano huo shauri amepata mkataba wa kucheza mchezo mwingine katika nchi hiyo tena tunamtakia kila la heri bondia mtanzania Ramadhani Shauri
Share on Google Plus

About GLORIA MATOLA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Chapisha Maoni

Watch the Video Here

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

Google+ Followers

TANGAZO

My Blog List