Moses Mwanyiro alijuza safu hii kuwa
video hizo kwa sasa zipo mtaani na watu wote wanakaribishwa kwenda
kupata nakala zao arisi ili waenderehe kupata burudani
dvd
hizo zilizo na nyimbo mbalimbali zikiwa na ujumbe wa kumtukuza mungu
zitakuwa chacha kwa watanzania kupata kumkumbuka mungu na kufanya
matendo mema Kampuni ya steps ya jijini Dar es salaam imekuwa ikipokea
kazi mbalimbali za sanaa ku kuzifanyia promosheni ili wananchi wapate
kitu kilicho bora zaidi msanii Flora mbasha kwa sasa anatamba na wimbo
wake mpya wa usilie tena ambao umebeba jina la albam yake mpya iliyoko
mtaani
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Chapisha Maoni