Mkurugenzi
wa Uhussiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania, Steve Kilindo
(kulia) akimkabidhi moja kati ya fulana 1,000 zenye thamani ya sh.
milioni 9 , Kamanda wa Kikosi cha Polisi cha Usalama Barabarani, Mohamed
Mpinga, kwa ajili ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani. Makabidhiano
hayo yalifanyika jana jijini Dar es Salaam.
Kilindo akizungumza baada ya kukabidhi
0 comments:
Chapisha Maoni