KARAMA AMTAFUTA MASHALI




Aliyekuwa bingwa wa dunia wbfed  middle weight bondia Karama Nyilawila amesema ana hamu kubwa ya kumdunda mtoto wa manzese  Thomas mashali (ambae ni bingwa wa Afrika wbfed  middle weight) alieutwa hivi karibuni kwa kumshinda mada maugo ,
Mashali akizungumza na vyombo vya habari ameeleza  kuwa mashali ameupata ubingwa huo kibahati na haukubali uwezo wake na alishawahi kucheza na mashali alikuwa hayupo fiti alipigana akiwa na malaria na akatoka  nae sare katika maamuzi ya utata kwa kuwa alikuwa kwao,
Karama nyilawila ambae hivi karibuni atakuwa na pambano  dhidi ya Sado philemon  tarehe 20 ya mwezi huu wa kumi katika ukumbi wa ccm mwinjuma,pambano  liloandaliwa na Ibrahim kamwe wa bigright promotion aliendelea kusema pambano hili akifanikiwa kumpiga sado hataupoteza ufiti wake kwa ajili ya mapambano  yatakayofuata likiwemo la hasimu wake Thomas mashali.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List