| Mabondia Ramadhani Shauli kushoto na Cosmas Cheka wakitunishiana misuli baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika 27,10,2013 katika ukumbi wa frends Kona Manzese Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
| Bondia Cosmas Cheka akipima uzito uku Ramadhani Shauli akiangalia mpambano wao utakaofanyika 27,10,2013 katika ukumbi wa frends Kona Manzese Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
| Bondia Ramadhani Shauli akipima uzito uku Cosmas Cheka akiangalia kwa umakini mpambano wao utakaofanyika 27,10,2013 katika ukumbi wa frends Kona Manzese Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
| bONDIA mOHAMED mATUMLA AKIPIMA aFYA KWA AJILI YA MPAMBANO WA KESHO |
| Mohamedi Matumla akipima uzito kwa ajili ya mpambano wa kesho |
0 comments:
Chapisha Maoni