Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, CCM, Nape Nnauye akimkaribisha Katibu
Mkuu wa Chama Cha Ukombozi cha Angola, MPLA, Julio Mateus Paulo, baada
ya mgeni huyo kuwasili katika Uwanja wa Ndege jijini Dar es Salaam,
jioni hii. Paul ni mmoja wa wakatibu wakuu wa vyama vya ukombozi Kusini
mwa Afrika watakaoshiriki mkutano wa makatibu hao keshokutwa jijini Dar
es Salaam.
Paul akilakiwa na baadhi ya maofisa wa ubalozi wa Angola nchini. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Chapisha Maoni