Meneja wa NMB Kanda ya Kaskazini , Vicky Bishubo (kulia) akipokea Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa (wa pili kushoto), tuzo ya ushindi wa pili ya uwasilishaji PPF michango ya wafanyakazi wakati wa hafla za taasisi za kifedha iliyofanyika jijini Arusha, baada ya mkutano wa 23 wa wanachama wa PPF uliodhaminiwa na Benki ya NMB kumalizika. Wa pili kulia ni Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk. Makongoro Mahanga.
Baadhi ya wanachama wa PPF wakisikiliza kwa makini wakati wa mkutano wa 23 uliodhaminiwa ka NMB Bank
Meneja wa NMB Kanda ya Kaskazini , Vicky P. Bishubo (wa pili kushoto)akiwa pamoja na Meneja wa Mahusiano kutoka Kitengo ya Serikali cha NMB Bw. Elieza Msuya (kulia) wakizungumza na mwanachama wa PPF wakati wa mkutano wa 23 wa wanachama wa PPF uliodhaminiwa na benki ya NMB, jijini Arusha. Akiangalia ni Meneja Mahusiano NMB Kitengo cha Taasisi Bw. Sepi Mawalla(katikati
0 comments:
Chapisha Maoni