NYAMLANI AANZA KAMPENI ZA URAIS KWA KISHINDO
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Athuman Nyamlani akielezea mipango yake ya kuendeleza soka nchini endapo katika Uchaguzi Mkuu wa TTF  ujao atachaguliwa kuwa Rais. Nyamlani alikuwa anazungumza wakati wa mkutano na waandishi wa habari alipokuwa akizindua kampeni zake jana kwenye Ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo, Dar es Salaam leo.
Share on Google Plus

About GLORIA MATOLA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Chapisha Maoni

Watch the Video Here

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

Google+ Followers

TANGAZO

My Blog List