Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa katika jiwe la msingi
kuizindua rasmi shule ya sekondari ya Miono iliyopo Wilayani Bagamoyo,
akishuhudiwa na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mhe Philipo MulugoRais Kikwete yupo katika ziara ya kikazi Mkoa wa Pwani.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua maktaba ya Shule ya Sekondari ya
Miono Muda mfupi baada ya kuizindua shule hiyo jana Wilayani Bagamoyo
Mkoa wa Pwani
 |
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wanafunzi wa kidato cha tano
wanaosoma Shule ya Sekondari ya Miono Wilayani Bagamoyo, Nyekwabi
Jackline George,Penina Odara na Magret Machinyita wakitoa maelezo ya
jaribio la sayani somo la biolojia wakati Rais alipofungua rasmi shule
hiyo. Picha na mdau Freddy Maro wa Ikulu |
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Chapisha Maoni