RAIS KIKWETE KATIKA SHEREHE ZA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU, KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE NA WIKI YA VIJANA



 Rais Jakaya Kikwete, Mama Salma, Waziri wa Habari, Dkt. Fenela Mukangara, Mkuu wa Mkoa Iringa, Ishengoma na Mangula, wakifurahia kwa pamoja wakicheza muziki wakati wa sherehe za Kilele cha Mbio za Menge wa Uhuru zilizofanyika kwenye Uwanja wa Samora mjini Iringa leo mchana.
 Rais Jakaya Kikwete akipokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru 2013 Bw.Juma Ali Simai leo katika uwanja wa CCM Samora mjini Iringa.
 Rais Jakaya Kikwete, akihutubia katika sherehe hizo.
 Rais Kikwete, akimkabidhi Kikombe Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Ishengoma.
 Rais Jakaya Kikwete (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wakimbiza mwenge wa Uhuru 2013 leo mjini Iringa.
Rais Kikwete, akiwa katika picha ya pamoja na Mbunge wa Iringa Mjini, Peter Msigwa na
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List