ais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed 
Shein,akisisitiza jambo alipokuwa akizungumza na Kamati ya uandishi wa 
taarifa za Serikali,katika mahojiano maalum kuhusu maendeleo ya 
Zanzibar,ikiwa ni katika  maadhimisho   ya miaka 50 ya Mapinduzi 
Zanzibar,katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo mchana

Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed 
Shein,akizungumza na Kamati ya uandishi wa taarifa za Serikali,katika 
mahojiano maalum kuhusu maendeleo ya Zanzibar,ikiwa ni katika  
maadhimisho   ya miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,katika ukumbi wa Ikulu 
Mjini Zanzibar leo mchana.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu-Zanzibar

0 comments:
Chapisha Maoni