Meneja Shayiri (Barley Manager) wa Kampuni ya Bia nchini (TBL), Dk.
Bennie Basson (kushoto) akimkabidhi mfano wa Hundi mkulima wa zao hilo
katika kijiji cha Emairete, Kata ya Monduli Juu wilaya ya Monduli mkoa
wa Arusha , John Koira Laizer sh. mil. 16 iliyotokana na mapato ya
mavuno ya shayiri kwenye shamba lake. Pia TBL ilimuwezesha mkulima huyo
pembejeo na utalaamu vilivyosababisha apate mavuno mazuri.
Mkulima wa zao Shayiri katika Kijiji cha Emairete,Kata ya Monduli Juu, wilayani Monduli, Arusha, John Laizer (kulia) akiishukuru Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kijijini hapo, baada ya kukabidhiwa faida ya sh. mil. 16 iliyotokana na mapato ya mavuno ya shayiri kwenye shamba lake. Pia TBL ilimuwezesha mkulima huyo pembejeo na utalaamu vilivyosababisha apate mavuno mazuri. Kushoto ni Meneja Shayiri wa TBL,Dk. Bennie Basson.
Meneja Shayiri (Barley Manager) wa Kampuni ya Bia nchini (TBL), Dk. Bennie Basson ( Wa tano kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na wakulima wa zao hilo, katika kijiji cha Emairete,Kata ya Monduli Juu wilaya ya Monduli mkoa wa Arusha wanalima kwa msaada wa kitaalamu,kulia ni Afisa Ugani wa TBL, Editha Temu.

0 comments:
Chapisha Maoni