MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AJUMUIKA NA WAUMINI WA DINI YA KIISLAMU KUUPOKEA MWAKA MPYA WA KIISLAMU 1435 HIJRIYYA, JIJINI DAR Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia katika hafla ya sherehe za kuukaribisha mwakama mpya wa Kiislamu 1435 Hijriyya, zilizofanyikwa kwenye Ukumbi wa Karimjee,jijini Dar es Salaam, leo. Picha Zote na OMR
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Mohammed Gharib Bilal, akiwasili kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam, leo Nov 10, 2013 kwa ajili ya kuhudhuria hafla ya kuupokea mwaka mpya wa Kiislamu 1435 Hijriyya.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalaimiana na baadhi ya Viongozi wa Jumuiya ya Istiqaama Tanzania, wakati alipowasili kwenye Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam, leo Vov 10, 2013 kwa ajili ya kuhudhuria hafla ya kuupokea mwaka mpya wa Kiislamu 1435 Hijriyya. Katikati ni Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Alhad Mussa Salum.
 Sehemu ya waumini wa dini ya Kiislamu,waliohudhuria hafla ya kuupokea mwaka mpya wa Kiislamu 1435 Hijriyya, katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam, leo. 
  Sehemu ya waumini wa dini ya Kiislamu,waliohudhuria hafla ya kuupokea mwaka mpya wa Kiislamu 1435 Hijriyya, katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam, leo. 
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwaongoza baadhi ya Viongozi wa Jumuiya ya Istiqaama, kuomba dua wakati wa hafla ya kuupokea mwaka mpya wa Kiislamu 1435 Hijriyya, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam,leo. 
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiteta jambo na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum, wakati wa hafla ya kuupokea mwaka mpya wa Kiislamu 1435 Hijriyya, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam, leo.
 Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum, akizungumza machache kabla ya kumkaribisha Makamu wa Rais, Dkt. Bilal,kuhutubia.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi zawadi Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum, kwa kutambua mchango wake katika kufanikisha hafla ya kuupokea mwaka mpya wa Kiislamu 1435 Hijriyya, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam, leo.
Picha ya pamoja ya kumbukumbu baada ya hafla hiyo.
Share on Google Plus

About GLORIA MATOLA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Chapisha Maoni

Watch the Video Here

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

Google+ Followers

TANGAZO

My Blog List