MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AMJULIA HALI DKT. SENGONDO MVUNGI ALIYELAZWA MUHIMBILI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib  Bilal, akimsikiliza Dkt. Mugisha Clement, aliyekuwa akimpa maelezo
kuhusu alivyompokea Mjumbe wa Tume ya Katiba, Dkt. Sengondo Mvungi,
aliyelazwa  katika Kitengo cha Uangalizi Maalum (ICU) MOI katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, wakati alipokwenda kumjulia hali, kufuatia kujeruhiwa na majambazi usiku wa kuamkia jumapili huko nyumbani kwake  maeneo ya Kibamba. Picha na OMR
Share on Google Plus

About GLORIA MATOLA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Chapisha Maoni

Watch the Video Here

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

Google+ Followers

TANGAZO

My Blog List