CHEGE, TEMBA NA BI CHEKA WAWA VIVUTIO VIKUBWA LEO KATIKA UWANJA WA TAIFA WAKATI WA ZIARA YA KOMBE LA DUNIAMh Temba na Chege wakikamua vilivyo katika Steji ya Coca Cola Fifa trouphy tour iliyotua jijini Dar jana usiku na leo kuwa katika uwanja wa Taifa kwaajilii ya wakazi wa Jiji la Dar na Vitongoji vyake kuweza kupata fursa ya kupiga nalo picha.
 Chege, Temba na Wanaume TMK wakirusha mapanga shaa shaaa katika shoo ya Kombe la Dunia katika Uwanja wa Taifa leo
 Baadhi ya Mashabiki na wakazi wa jiji la Dar wakiendelea kufuatilia Shoo kutoka Kwa Chege na Temba
 Chege na Temba wakitoa burudani...
 Mashabiki wakifuatilia
 Bi Cheka naye ndani ya steji akitoa burudani 
Huku Temba huku Bi cheka Stejini wakiwarusha Mashabiki katika ziara ya Kombe la Dunia katika Uwanja wa taifa ambapo wakazi wa Jiji la Dar na Vitongoji vyake waliweza kupata fursa ya kupiga nalo picha leo katika uwanja wa Taifa
Share on Google Plus

About GLORIA MATOLA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Chapisha Maoni

Watch the Video Here

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

Google+ Followers

TANGAZO

My Blog List