MAKINDA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI KUPITIA RATIBA YA SHUGHULIZA BUNGELA LA MKUTANO WA 14 ULIOANZA LEO MJINI DODOMA Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiongoza kikao cha Kamati ya Uongozi Bungeni Dodoma leo.Kamati hiyo imekaa kupitia ratiba ya shughuli zitakazokuwemo kwenye mkutano wa 14 wa Bunge ulioanza leo. Kushoto ni Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah.
Wajumbe wa Management ya Bunge ambao ni Maafisa wa Bunge wakifuatilia kwa umakini kikao hicho cha kamati ya Uongozi. Picha na Owen Mwandumbya
Share on Google Plus

About GLORIA MATOLA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Chapisha Maoni

Watch the Video Here

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

Google+ Followers

TANGAZO

My Blog List