Meya
wa wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuf
Mwenda akionyesha simu za mkononi zitakazo tumika kuchangisha fedha kwa ajili
ya Mpango maalumu wa kuchangia
wanafunzi wenye ulemavu katika Manispaa ya Kinondoni Dar es Salaam baada ya
kuuzindua rasmi. Mitandao ya simu itakayotumika
ni M-Pesa namba 0768727314 na Tigo Pesa namba 0712200022.
Wanafunzi
wenye Ulemavu wa kusikia(viziwi)pamoja na walimu wao wakiimba wimbo wa
Taifa kwa kutumia lugha ya alama wakati wa uzinduzi Mpango maalumu wa kuchangia wanafunzi wenye ulemavu katika Manispaa ya Kinondoni Dar es Salaam. Mitandao ya simu itakayotumika ni M-Pesa namba 0768727314 na Tigo Pesa namba
Meya wa wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuf Mwenda akizungumza kwenye uzinduzi Mpango
maalumu wa kuchangia wanafunzi wenye ulemavu katika Manispaa ya
Kinondoni Dar es Salaam.Kushoto ni Afisa Elimu Manispaa ya hiyo, Hussein
Ramadhani na Mganga Mkuu wa Manispaa hiyo aliye mwakilisha Mkurugenzi….
Mitandao ya simu itakayotumika ni M-Pesa namba 0768727314 na Tigo Pesa namba
Mwenyekiti wa Vitengo vya Elimu Maalum katika Manispaa ya Kinondoni,Lessly Nyambo akizungumza kwenye uzinduzi Mpango Maalumu wa kuchangia wanafunzi wenye ulemavu katika Manispaa ya Kinondoni Dar es Salaam.
0 comments:
Chapisha Maoni