Ofisa Uratibu na. Matekeleazo wa CHF Bw. Nicholaus
Mwangomo akitoa maelezo ya jinsi mfuko huo unavyotoa matibabu kwa watu
waliojiunga kupitia halmashauri mbalimbali za wilaya nchini na faida
zake kwa wananchi wakati wa mkutano wa wana VICOBA mbalimbali
iliyofanyika kwenye ukimbi wa Princes Sinza Mapambano leo, mkutano huo
ulianza jana na unaendelea leo kwenye ukumbi huo.
Wana VICOBA wanaoshiriki katika mkutano huo wakimsikiliza Ofisa Uratibu na. Matekeleazo wa CHF Bw. Nicholaus Mwangomo wakati akitoa somo la hudumza za afya kwa washiriki hao.
washoriki wa mkutano huo wakifuatilia mada mbalombali zilizokuwa zikitolewa na wataalam hao.
0 comments:
Chapisha Maoni