Hii ndio Helkopta aliyokuwa akiitumia katibu mkuu wa Chadema Dr Slaa katika mikutano yake nyanda za juu kusini ikiwa imetua katika uwanja wa mikutano wa Mwembetogwa na baada ya hapo ilipelekwa kuegeshwa uwanja wa Ndege Nduli kutokana na kuishiwa mafuta hivyo kulazimika baadhi ya maeneo kushindwa kwenda kwa usafiri huo na badala yake viongozi wake kutumia magari .
Kuna haja ya kuwepo kwa kisima cha uuzaji wa mafuta ya Ndege katika uwanja wa Ndege Nduli Iringa ili kuepusha usumbufu wa Ndege kwenda kujaza ama kununua mafuta Dodoma
0 comments:
Chapisha Maoni