Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akikata utepe kuyafungua Maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi
Zanzibar,yaliyofanyika jana viwanja vya Beit el Ras,katika shamra shamra
za sherehe za Mapinduzi,(kushoto) Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamadi,na (kulia) Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi. Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akizungumza na Wananchi katika ufunguzi wa Maonesho ya Miaka 50 ya
Mapinduzi Zanzibar,yaliyofanyika jana viwanja
vya Beit el Ras,katika shamra shamra za sherehe za Mapinduzi,(kulia)
Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi,pia akiwa mwenyekiti wa
maonesho hayo. Makamo
wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamadi,akipokea Sarafu ya Shilingi
Hamsini,ya sherehe za Mapinduzi,kutoka kwa Naibu Gavana wa Benki Kuu ya
Tanzania Juma Reli,iliyotengenezwa
kwa Fedha,ambayo imetolewa kwa Viongozi wa Juu,katika ufunguzi wa
maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar, yaliyofanyika jana viwanja
vya Beit el Ras,katika shamra shamra za sherehe za Mapinduzi, Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akipokea Sarafu ya Shilingi Hamsini,ya sherehe zaMapinduzi,kutoka
kwa Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Juma Reli,iliyotengenezwa kwa
Fedha,ambayo imetolewa kwa Viongozi wa Juu,katika ufunguzi wa maonesho
ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar, yaliyofanyika jana viwanja vya Beit
el Ras,katika shamra shamra za sherehe za Mapinduzi, Hawa
ni Watoto na Vijana wakishuhudia matukio muhimu katika ufunguzi wa
Maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,yaliyofanyika jana viwanja
vya Beit el Ras,katika shamra shamra za sherehe za Mapinduzi,ambapo
mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,Baadhi
ya Viongozi wakifuatilia kwa makini harakati za ufunguzi wa Maonesho ya
Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,yaliyofanyika jana viwanja vya Beit el
Ras,katika shamra shamra za sherehe za Mapinduzi,ambapo mgeni rasmi
alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
DKT. DORIYE AVISHWA CHEO KUAPISHWA KUWA KAMISHNA WA UHIFADHI NCAA.
-
*Na Kassim Nyaki, Karatu.*
Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Dkt. Pindi Hazara Chana (Mb) kwa niaba
ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Sa...
Siku 5 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni