

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr. Ali Mohamed Shein akimkabidhi
Kombe la Mapinduzi Nahodha wa Timu ya KCC kutoka Uganda Kawoya
Fahad,katika mchezo wa Fainali na Timu ya Simba,uliochezwa lao katika
uwanja wa Amaan Mjni Zanzibar ikiwa sherehe za Miaka 50 ya
Mapinduzi,katika mchezo huo KCC ilifunga Simba kwa bao 1-0.[Picha na
Ramadhan Othman Ikulu.]
0 comments:
Chapisha Maoni