VIONGOZI WA DINI WATEMBELEA BOMBA JIPYA LA GESI – MTWARA- DAR


Ujumbe wa Viongozi wa dini wakiangalia mojawapo ya visima vya nchi kavu vya kusafisha gesi katika eneo la Mnazi Bay, Mtwara.
Viongozi wa dini wakipata maelezo kutoka kwa Mtaalamu wa Masuala ya gesi na  Msimamizi Mkuu wa Mitambo ya kusafisha gesi Mhandisi Sultan Pwaga katika  eneo la Madimba kinapojengwa Kiwanda cha kutakasa Gesi.
Mafundi wa Kampuni ya China Petroleum Pipline (CPP) wakiendelea na kazi ya kuunganisha mambomba ya gesi katika kambi ya Madangwa.
Meneja Mradi wa Bomba la gesi kutoka Da r es Salaam hadi Mtwara Mhandisi  Kapuulya Musomba akiwaeleza viongozi wa hatua mbalimbali zilizofikiwa katika  utekelezaji wa Mradi huo. Katikati ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na  Madini Mhandisi Ngosi Mwihava.

Viongozi wa dini wametembelea Bomba Jipya la Gesi asilia la Mtwara- Dar
 es Salaam, mtambo wa kusafisha umeme wa Mnazi Bay na maeneo mengine mbalimbali ya uendelezaji wa gesi asilia katika Mkoa wa Lindi na Mtwara.

Viongozi hao wamefanya ziara hiyo ikiwa ni maandalizi kabla ya kufanyika  Kongamano la Viongozi wa dini linalotarajiwa kufanyika jijini Dar es Salaam  tarehe 21 na 22 mwezi Januari, 2014.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List