WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROF. SOSPETER MUHONGO AKUTANA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA KAMPUNI YA WINCH ENERGY TANZANIA


Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Winch Energy Tanzania akiwasilisha mada mbele ya Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo (aliyekaa upande wa kulia) kwenye ukumbi ulioko kwenye ofisi  za Wizara ya Nishati na Madini. Lengo la kikao hicho lilikuwa ni kampuni ya Winch Energy Tanzania kutambulisha majukumu yake ikiwa ni pamoja na kusambaza umeme wa nishati ya jua.
Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter  Muhongo akisisitiza jambo katika kikao hicho.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List