IMAMU wa Msikiti
wa Sawiyatu Qadiria, Hassan Bashir, akiwa amelazwa katika Hospitali ya
Mkoa wa Arusha ya Mount Meru, baada ya kumwagiwa inayodaiwa kuwa ni
tindikali jana na mtu asiyefahamika baada ya mtu huyo kumwita kwa jina
anayedaiwa alikuwa amevalia koti na kanzu. Inaelezwa wakati Imamu huyo anageuka ghafla
ndipo alipomwagia bahati nzuri ilimpata tutawaletea habari baadae
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
CCM YAONYA WATEULE MIUNDOMBINU ZANZIBAR
-
Na Mwandishi Wetu, Zanzibar
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimesema hakitamvumilia mteule yeyote wa Rais
wa Awamu ya Nane, Dkt. Hussein Ali Mwinyi wala taa...
0 comments:
Chapisha Maoni