Naibu Mkurugenzi wa Engenderhealth na Mradi wa CHAMPION Dr.Monica Magoke Mhoja akitoa Semina kwa Waandishi wa Habari huko Mtwara katika Warsha ya Ukatili wa Kijinsia.
Dr. Monica Mhoja akieleza Masuala ya Ukatili wa Kijinsia kwa Waandishi waliofika katika Warsha iliofanyika Mtwara jana
Waandishi wa habari wakiwa wanachangia hoja toka kwa muwezeshaji wa Champion
Waandishi wa habari wakiwa katika Mazoezi ya Pamoja katika Warsha ya Kupinga Ukatili wa Kijinsia iliyodhaminiwa na watu wa Marekani USAID Wakishirikiana na PEPFAR Iliyofanyika Mtwara.

Mradi huu unadhaminiwa kwa Shirika la misaada la Marekani USAID Wakishirikiana na PEPFAR.
Stori hii imechapishwa na EVANCE WILLFRED Toka blog hii
About
SDM PRODUCTION MEDIA
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Chapisha Maoni