Waziri wa nchi
ofisi ya makamu wa Rais mazingira Dr Binilith Mahenge akizungumza
na viongozi wa mkoa wa Iringa leo kabla ya kutembelea eneo la ujenzi
wa stendi ya kisasa Igumbilo
Mhandisi wa manispaa ya Iringa Mashaka Luhamba kulia akitoa maelekezo kwa waziri Dr Mahenge wa tatu kushoto leo
waziri Dr Mahenge
akiwa na mkuu wa mkoa wa Iringa Dr Christine Ishengoma kushoto na
mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa Bi Terresia Mahongo
kulia
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
HII NDIO LAETOLI
-
Bodi ya Wakurugenzi Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro ikiongozwa na
makamu Mwenyekiti Dkt. Harriet Mtae jana tarehe 11 julai, 2026 imekagua
ubores...
0 comments:
Chapisha Maoni