Waziri Mkuu
Mizengo Pinda akibonyeza kitufe
kuashiria uzinduzi wa Jukwaa la Ardhi Tanzania,Kauli mbiu yake ni Ardhi yetu ,Watu wetu na Urithi wetu.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizindua Jukwaaa
la Ardhi Tanzania katika ukumbi wa PSPF .kutoka kushoto ni Muhashamu Askofu
mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania ,Alex Malasusa na kulia na
Shekhe Ally kutoka Mkoa wa Tanga .
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Askof Alex
Malasusa akimkaribisha Waziri Mkuu
Mizengo Pinda katika ukumbi wa
PSPF kwa ajili ya Uzinduzi wa Jukwaa la Ardhi Tanzania .Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
0 comments:
Chapisha Maoni