Bondia Bernard Mwakasanga 'Shoka ya Bucha ' wa uzito wa juu akipiga panch bag kwa ajili ya maandalizi ya mpambano wake na Idi Kipandu 'Idi Bonge' mpambano utakaofanyika katika ukumbi wa frends corner Manzese March 23 picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Bondia Bernard Mwakasanga 'Shoka ya Bucha ' wa uzito wa juu akipiga panch bag up cat kwa ajili ya maandalizi ya mpambano wake na Idi Kipandu 'Idi Bonge' mpambano utakaofanyika katika ukumbi wa Frends corner Manzese March 23 picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Bondia Bernard Mwakasanga 'Shoka ya Bucha ' wa uzito wa juu akijifua kwa ajili ya mpambano wake na Idi Bonge March 23 Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Bondia Bernard Mwakasanga 'Shoka ya Bucha ' wa uzito wa juu akinua chuma kwa ajili ya mpambano wake na Idi Bonge March 23 Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Na Mwandishi Wetu
Bondia Bernard Mwakasanga 'Shoka ya Bucha ' wa uzito wa
juuameingia kambini kwa ajili ya kujifua kuwinda mpambano wake wa march 23 katika ukumbi wa frends corner Manzese Dar es salaam
ambapo atapambana na Iddi Kipandu 'iddi
Bonge' mpambano huo ambao unasubiliwa kwa hamu kubwa sana na mashabiki
mbalimbali wa mchezo huo sasa homa yake imezidi kupamba moto baada ya
kila mmoja kumtambia mwenzake kuwa atammaliza raundi za awali
akizungumza katika GYM yake iliyopo
Gongolamboto Mwakasanga ameseme Iddi Bonge ni kama nyama ya bucha hivyo
mimi ni shoka nitapasua kichwa chake hivyo watu waje wajionee ninavyo
fungua bucha manzese siku hiyo
mpambano huo ambao utakuwa na mapambano
makali ya utangulizi kwa mujibui wa mratibu wa mpambano huo Waziri Rosta
ameongezea kuwa bondia Fadhili Mjia 'stoper' ataoneshana kazi na Juma
Selemani uku Twalibu Mchanjo akikutana na Mohamed Babeshi, wakati
Hassani Mandula akipambana na Ally Bugingo mpambano mwingine
utawakutanisha Amani Bariki na Selemani Motto, na Halidi Manjee
akioneshana umwamba na Shabani Mtengela huku Mustafa Dotto akizichapa na
Ismail Ndende na Salimu Chagogo atazikunja na Salumu Kombe
aliongeza kuwa ulizi na usalama wa mali zako ni wa huwakika hivyo familia nzima nmnawza kuja kushudia mpambano huo wa masumbwi bila shaka
aliongeza kuwa ulizi na usalama wa mali zako ni wa huwakika hivyo familia nzima nmnawza kuja kushudia mpambano huo wa masumbwi bila shaka
Katika mpambano huo siku hiyo kutakuwa
na uzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi kali pamoja na kutambua sheria
zake zikiwa na mabondia wakali kama vile
0 comments:
Chapisha Maoni