MFUKO WA PENSHENI WA PPF WAKUTANA NA WAANDISHI NA WADAU WA HABARI JIJINI DAR



 

 
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF,William Erio (wa kwanza kulia), akizungumza wakati wa mkutano na waandishi na wadau wa habari uliofanyika katika ukumbi wa Karimjee, Dar es Salaam leo. 
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, Absolom Kibanda, akizungumza wakati wa  mkutano na waandishi na wadau wa habari uliofanyika katika ukumbi wa Karimjee, Dar es Salaam leo.
Baadhi ya washiriki wa mkutano ambao pia ni waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari nchini wakifuatilia kwa makini mada zilizokuwa zikitolewa kwenye mkutano uliondaliwa na Mfuko wa Pensheni wa PPF wakati wa  mkutano na waandishi na wadau wa habari uliofanyika katika ukumbi wa Karimjee, Dar es Salaam leo.
Meneja wa Huduma kwa wateja wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Godfrey Mollel akisisitiza jambo wakati akitoa mada kwenye mkutano ulioandaliwa na PPF kwa waandishi na wadau wa habari katika ukumbi wa Karimjee Jijini Dar Es Salaam leo.
Afisa Uhusiano wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi Janeth Ezekiel (katikati) akifuatilia kwa makini mada iliyokuwa ikitolewa na Meneja Wa Huduma Kwa Wateja wa Mfuko wa Pensheni wa PPF , Ndg Godfrey Mollel (hayupo pichani) Ndg Godfrey Mollel wakati wa mkutano na waandishi na wadau wa habari uliofanyika katika ukumbi wa Karimjee, Dar es Salaam leo. Dokta Isaac Maro Wa AfyaCheck akizungumza wakati  wa mkutano na waandishi na wadau wa habari uliofanyika katika ukumbi wa Karimjee, Dar es Salaam
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List