Wachezaji
wa Timu ya Kokni Jamat ya Zanzibar wakiteremka kwenye boti wakitokea
Dar es laam kwenye Bonanza la Pasaka ambapo wamefanikiwa kuchukuwa
makombe matatu ya mshindi wa kwanza katika michezo ya Play Station,
mpira wa meza na mpira wa miguu dhidi ya wenyeji wao. Aliebeba kombe
kubwa ni Rais wa Jumuia ya Kokn Jamat ya Zanzibar Jeff Babu.
Wachezaji wa Timu ya Kokni Jamat ya Zanzibar katika picha ya pamoja.
Nahodha
wa Timu ya Kokni Jamat Ibrahim Dalvi (kulia) na msaidizi wake Nabil
Shamshuddin wakiwa wameshikilia kombe mara baada ya kuwasili Zanzibar.
PICHA NA MAKAME MSHENGA-MAELEZO ZANZIBAR.
0 comments:
Chapisha Maoni