Bondia Juma Biglee kulia akishambulia kwa makonde na Jack
Simela wakati wa mpambano wao wa masumbwi uliofanyika jana katika ukumbi
wa Ndelema inn chalinze mjini mkoa wa pwani Biglee alishinda kwa point
picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Bondia Juma Biglee akinyooshwa mkono juu baada ya kumshinda Jack Simela wa chalinze
Bondia Mwaite Juma kushoto akioneshana
umwamba wa kutupiana makonde na Godfrey Sadiki 'Pacho Mawe' wakati wa
mpambano wao uliofanyika jana katika ukumbi wa ndelema inn chalinze mkoa
wa pwani juma alishinda kwa point picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Mwaite Juma kushoto akioneshana umwamba wa
kutupiana makonde na Godfrey Sadiki 'Pacho Mawe' wakati wa mpambano wao
uliofanyika jana katika ukumbi wa ndelema inn chalinze mkoa wa pwani
juma alishinda kwa point picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
0 comments:
Chapisha Maoni