MAFUNZO YA MATUKIO YA MAJANGA MBALI MBALI KWA MAAFISA ELIMU

 Naibu Waziri ( TAMISEMI),Mh KASSIM MAJALIWA akifungua mafunzo kwa maafisa elimu wa shule ya msingi na sekondari,kuwajengea uwezo wa kupambana na majanga mbalimbali.Lengo la serikali ni kuandaa maafisa ili kufundisha somo la majanga mashuleni kwa sekondari na msingi.Mafunzo hayo yantolewa kwa wiki tatu ndani ya chuo cha ADEM wilaya ya bagamoyo




maafisa elimu wakifuatilia mafunzo toka kwa mwezeshaji.
afisa elimu vifaa na takwimu sekondari GEORGE JOSEPH kutoka BUKOBA.
maafisa elimu wakiwa katika mazoezi ya vitendo kutoa huduma ya kwanza.
maafisa elimu wakiwa katika mazoezi ya vitendo kutoa huduma ya kwanza.
maafisa elimu wakiwa katika mazoezi ya vitendo kutoa huduma ya kwanza.

\




Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List