Wasichana washiriki mashindano ya miss ukonga 2014 wilaya ya ilala jijini dar es salaam wapatao 16, ambapo kila mmoja ana ndoto za kuchukua ushindi.
warembo hao wakiongea na mwandishi wa blog hii.walitaka
jamii hiyelewe kuwa urembo siyo uhuni bali ni kipaji cha mtu kama vipaji vingine vilivyo hivyo wazazi wasiwakatalie watoto wao kushiriki
mashindano hayo ya urembo kwani ni moja ya
ajira rasmi kama zingine..
katika mashindano hayo kwanza wanafundisha maadili mema, nizamu, kujituma ,kushirikiana na jamii,kufanyakazi,pia nakujali imani ya mtu yeyote
warembo hao wamesama katika washiriki hao wengine ni wasomi wa vyuo vikuu ,kwani wemesama watakavyo pata nafasi hiyo itakuwa msaada kwa jamii kuwa elimisha,tamaduni za
asili ya tanzania na kuzitangaza nje
Mashindano hayo yame andaliwa na
CHIKU CHAMBUSO JNC INTERTAINMENT
na kudhaminiwa na ESCO ONE HOUSE WEAR
TISEZA YAITA WAZAWA KUWEKEZA KWALA
-
Kaimu Meneja Uhusiano na Mawasiliano kwa Umma Mamlaka ya ya Uwekezaji
na Maeneo Maalumu ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA) Adrina Rushakya
amesema...
Saa 15 zilizopita
Blogger Comment