Mabondia Karama Nyilawila kushoto na 
Said Mbelwa 
wakitambiana wakati wa utambulisho wa mpambano wao wa kugombania ubingwa
 wa UBO may 24 katika ukumbi wa frende corner manzese katikati ni katibu
 mkuu wa chama cha ngumi za kulipwa nchini PST Antony Rutta picha Rajabu
 Mhamila  
Mabondia Karama Nyilawila kushoto na 
Said Mbelwa 
wakitambiana wakati wa utambulisho wa mpambano wao wa kugombania ubingwa
 wa UBO may 24 katika ukumbi wa frende corner manzese katikati ni katibu
 mkuu wa chama cha ngumi za kulipwa nchini PST Antony Rutta picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Mabondia Karama Nyilawila kushoto na Said Mbelwa 
wakitambiana wakati wa utambulisho wa mpambano wao wa kugombania ubingwa
 wa UBO may 24 katika ukumbi wa frende corner manzese picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Mabondia Karama Nyilawila kushoto na 
Said Mbelwa wakitambiana wakati wa utambulisho wa mpambano wao wa 
kugombania ubingwa wa UBO may 24 katika ukumbi wa frende corner manzese 
picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Na Mwandishi Wetu
MABONDIA Said Mbelwa na Karama 
Nyilawila wametambiana kila mmoja kuibuka mbabe katika mpambano wao wa 
kugombania ubingwa wa Univers Boxing Oganaization UBO  mpambano 
utakaofanyika katika ukuimbi wa Frends Corner Manzese Dar es salaam
likiwa linasimamiwa na chama cha ngumi
 za kulipwa nchini PST mpambano huo utakao onesha kuwa nani mbabe wa 
uzani wa kg 76 ubingwa wa UBO akizungumzia mpambano huo Katibu mkuu wa 
shilikisho la ngumi za kulipwa nchini Antony Rutta amesema kuwa mpambano
 huo unaosubiliwa kwa hamu kubwa na mashabiki wengi nchini ukuiwa na 
mabondia wote wamecheza ngumi za kitaifa na kimataifa yani ndani na nje 
ya nchi
akitolea mfano bondia Said Mbelwa ndie
 bondia pekee ambaye anaenda nje ya nchi kucheza ngumi na kumaliza 
raundi zote 12 walizo pangiwa ingawa anapigwa kwa pointi ambapo mabondia
 wengi wa Tanzania wakienda nje wanapigwa K,O mbaya sana ambazo 
zinawatia mpaka itrafu katika baadhi ya maeneo
akimzungumzia Nyilawila ambaye alikuwa
 bingwa wa dunia wa uzani huo wa WBF ambaye alichukua mkanda huo nje ya 
nchi jambo ambalo kubwa sana duniani kumpiga mzungu nyumbani kwao si 
mchezo hivyo mabondia wote hawa wana sifa zinazo lingana
nae bondia Mbelwa aliongeza kwa kusema
 kuwa mimi nipo fiti hivyo mashabiki waje kwa wingi kuangalia ngumi 
ambazo zitahacha historia kubwa katika jiji la Dar es salaam na 
vitongoji vyake kwa kipigo nitakachompa Karam
Nae bondia Nyilawila alitamba kwa 
kukimbiwa na Thomasi Mashali ambaye alikuwa acheze nae ata hivyo bondia 
huyo amepata ajali ya gari na zamu yake atacheza Mbelwa uchu wangu 
mkubwa ni Mashali huyu wamemuonea bule kunipa mimi nita hakikisha 
namchakaza bila huruma ata chembe
Katika mpambano huo siku hiyo 
kutakuwa 
na uzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi  kali pamoja na kutambua 
sheria
 zake zikiwa na mabondia wakali kama vile gem ya fransic Miyeyusho vs 
Mohamed Matumla 'Sneak jr'  mpambano ulivuta hisia za wapenzi wengi wa 
ngumi nchini  

 
 
1 comments:
Ni pambano la kukata na shoka
Chapisha Maoni