Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, mkewe Mama Asha Bilal, Balozi wa Tanzania nchini Japan, Salome Sijaona
(wa pili kushoto) na Balozi wa Japan nchini Tanzania, Masaki Okada, wakiongozana
wakati
walipokuwa wakielekea kutembelea kiwanda cha kukamua mafuta ya Ufuta
cha Takemoto kilichopo Nagoya nje kidogo ya Jiji la Tokyo Japan, jana
Mei 22, 2014,
akiwa katika ziara yake ya kikazi nchini Japan.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal na ujumbe wake wakipata maelezo kuhusu kiwanda hicho kinavyofanya kazi
hadi
kupatikana mafuta ya Ufuta, wakati walipofika kiwandani hapo kujionea
kutembelea na kujionea shughuli za uzalishaji, jana Mei 22, 2014.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akipata maelezo kutoka kwa Ofisa wa Kiwanda cha kukamua mafuta ya Ufuta
cha
Takemoto, Akira Ogawa, jinsi mbegu za ufuta zinavyoanza kuandaliwa
kuelekea katika mashine za kukamua mafuta. Hapa ni hatua ya kwanza
zinaposhushwa mbegu hizo na kuingia moja kwa moja kwenye mitambo.
akiendelea kupata maelezo....
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Ofisa wa Kiwanda cha Mafuta ya Ufuta cha
Takemoto,
Akira Ogawa, jinsi mbegu za ufuta zinavyosafiri hadi kufika katika Kinu
cha kuzisaga hadi kupatikana mafuta hayo, wakati alipotembelelea
kiwanda hicho kilichopo Nagoya nje kidogo ya Jiji la Tokyo nchini Japan,
jana
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal
na mkewe Mama Asha Bilal, wakionyeshwa mbegu za ufuta na Ofisa wa
Kiwanda cha kukamua mafuta ya Ufuta cha Takemoto, Akira Ogawa, wakati
alipotembelelea kiwanda hicho kilichopo Nagoya nje kidogo ya Jiji la
Tokyo nchini Japan
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal
na mkewe Mama Asha Bilal, wakionyeshwa mafuta ya ufuta na Ofisa wa
Kiwanda cha kukamua mafuta ya hayo cha Takemoto, Akira Ogawa, wakati
alipotembelelea kiwanda hicho kilichopo Nagoya nje kidogo ya Jiji la
Tokyo nchini Japan, jana
Wakiendelea kutembelea kiwanda hicho.
Blogger Comment