Mwahandishi wa Habari gazeti la Hoja nchini Muchunguzi Kamugisha anawashauri watanzania wapende utamaduni wa Asiri yao kulingana na Kabila lake.waache kuiga tamaduni za Kigeni azina tija ya maendeleo za tamaduni za asilia hata hivyo vizazi vijayo awatajua asili za mila na deturi za kabila zao
Kamgisha amesema hipo haja ya kuangalia mila zilizobola
Kamgisha akiongea na mwandishi wa blog sdm production media jijini Dar es salam
Mwandishi anashauri watanzania wapende utamaduni wao
-
11:13
Blogger Comment