Askari Polisi akiwatuliza wanakijiji wa kijiji cha Masanganya Wilaya ya Kisarawe Mkoa wa Pwani, jana baada ya hatua walizozichukua za Kumfukuza Mwenyekiti wa Kijiji
hicho, Rajabu Iddi juzi kutokana na
ubadhilifu wa matumizi mabaya na kutumia vibaya madaraka yake wakati wa Mkutano na Viongozi wa
Wilaya ya Kisarawe. Picha na Jumanne Juma.
KAMISHNA WA NCAA AONGOZA MAKABIDHIANO YA MWENGE WA UHURU NGORONGORO, KARATU
-
Mwandishi wa NCAA, Karatu.
Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro (NCAA) Bw.
Abdulrazaq Badru amewaongoza watumishi wa Mamlaka ...
Saa 9 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni