COSMAS CHEKA AMSHINDA KWA K,O RAUNDI 10 SUMA NINJA MOROGOROBondia Cosmas Cheka akiwa na mkanda wake baada ya kumtwanga bondia Suma Ninja kwa k,o ya raundi ya kumi jana picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Jems Bondi kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Richard Lucas wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa vijana socil hall morogoro Lucas alishinda kwa point picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Bondia Suma Ninja kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Cosmas Cheka katika ukumbi wa vijana socil hall morogoro Cheka alishinda kwa k,o ya raundi ya kumi mpambano huo picha na
Baadhi ya mashabiki wakifatilia mchezo huo
Bondia Cosmas Cheka kushoto akioneshana umwamba na Suma Ninja wakati wa mpambano wao uliofanyika jana morogoro cheka alishinda kwa k,o ya raundi ya kumi picha na
Share on Google Plus

About GLORIA MATOLA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

Watch the Video Here

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

Google+ Followers

TANGAZO

My Blog List