UWEPO WA TECHNOLOGIA YA GROPHGAME KISWAHILI

Dr. Darmaris  Ngorosho
Uwepo wa tekonolojia ya Graphogme kiswahili (GG)Tanzania umetokana na jitihada za Dr. Damaris Ngorosho, ambaye  kwa ushirikiano na taasisi ya Niilomaki ya Finland alitengeneza mchezo huo mwaka 2011 na kuanza kutumika machi 2012 kwenye shule za majengo na kizuiani kama awamu ya kwanza ya utafiti. 
Motokeo ya utafiti yameonekana kuwa teknolojia hii ina uwezo mkubwa wa kumsaidia motto wa darasa la kwanza kujifunza kutambua herufi, silabi, maneno na matamshi yake kwa usahihi kwa haraka sana bila msaada mkubwa wa mwalimu.

Awamu ya pili ya utafiti inatarajiwa kuaanza mwezi Julai 2014 ukihusisha mkoa wa pwani, tanga na Mtwara.  Mchezo wa GG unauwezo mkuwa wa kusaidia pia watoto ambao huonekana ni wazito darasani (slow learners) , pia hata watu wazima wasiojua kusoma na kuandika  wanaweza kucheza mchezo huu na wakajua kusoma kwa haraka.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List