Wasiwasi kuhusu hali nchini Somalia

Maafisa wa serikali za Marekani na Jumuiya ya Ulaya wanafanya mkutano wa dharura na Rais wa Somalia, Hassan Mohamoud, kujadili hali ya usalama inayoendelea kuzorota nchini humo.
Viongozi hao pia watajadili hali ya kisiasa na kibinadamu.
Kutokana na sababu za kiusalama mkutano huo unafanyika ndani meli ya kivita iliyoko Bahari ya Hindi karibu na Ufuo wa mji Mkuu, Mogadishu.
Jumatano afisaa mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Maswala ya Kibinadamu, Valerie Amos, alitoa wito wa dharura wa Dola Milioni 60 zitakazotumiwa kuhakikisha kuwa Somalia hairejelei tena katika hali mbovu livyokuwa hapo awali.
Alisema wafadhili wa kimataifa kufikia sasa wametoa asilimia 19 pekee ya ahadi walizotoa.
Kundi la wapiganaji wa Kiislamu la Boko Haramu lingali linaendelea na kampeni yake ya kushambulia wanajeshi wa Somalia na wale wa Umoja wa Afrika walio nchini humo
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List