WAFANYAKAZI WA VODACOM WAJITOLEA KULA NA WATOTO WA MAZINGIRA MAGUMU

Changamoto imetolewa kwa jamii nchini kuwajali na kuwapenda watoto Yatima,na kutogawana mali za watoto wanaofiwa na wazazi wao,Huku wakiwaacha watoto hao wakiishi kwenye mazingira magumu.

Chanagamoto iyi imetolewa baada ya wafanyakazi wa kampuni ya Simu za mkononi ya Vodacom ,kula futali na watoto yatima na wanaoishi kwenye mazingira magumu,wa kituo cha Muhandaliwa,kilichopo Mtaa wa Mbweni,kata ya Bunju,Dar es Salaam.

Mmiliki wa kituo cha kulea watoto yatima Bi.Halima Ramadhani,ameitaka jamii kuwapenda watoto,hata baada ya kuondokewa na wazazi wao ili kuwaepusha na kujiingiza kwenye shughuli ambazo ni kinyume na maadili.

Mwakili wa Wafanyakazi hao wa Vodacom Happiness Shuma alipozungumza kwa niamba ya wafanyakazi wenzake amesema,'Vodacom inajuhusisha na masuala ya kijamii kama moja ya shughuli zake,kwa lengo la kuwasaidia watoto kama hao wenye mahitaji makubwa'

Watoto hao wa kituo cha Mahandaliwa wamewashukuru wafanyakazi hao wa Vodacom,huku wakieleza changamoto mbalimbali wanazokabiliana nazo.Jamii lazima ijitoe kutokana na kuwepo kwa ongezeko kubwa la watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu,ambao wengi huamua kwenda mitaani na kuomba,na kujihusisha na matukio ya ualifu.

watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu wakipata futulu na wafanyakazi wa Vodacom

watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu wakipata futulu na wafanyakazi wa Vodacom

Mlezi wa kituo Bi:Halima Ramadhani

watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu wakipata futulu na wafanyakazi wa Vodacom

Bi:HAPPINESS SHUM (mhasibu Vodacom)

watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu wakipata futulu na wafanyakazi wa Vodacom

 watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu wakipata futulu na wafanyakazi wa Vodacom
watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu wakipata futulu na wafanyakazi wa Vodacom
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List